
Shipping Estimate
USA
- USA
- CAN
- USA
- CAN
Ships within 48 hours · Estimated delivery Jul 9 - Jul 14
For Your Every Summer RSVP, with Code: SUMMER15
Description
BONGO FLEVA MUSIC FACTSKatikati ya mwaka 2017 nilipata nafasi ya kufanya kazi na tovuti ya Burudani inayosomwa zaidi nchini Tanzania, Bongo5. com ambapo nilijijengea uwezo mkubwa kwa upande wa Uandishi wa Habari za Burudani. Baada ya uchunguzi uliodumu kwa kipindi cha mwaka mmoja, nimeweza kuja na Bongo Fleva Music Facts na kuwa Mwandishi wa kwanza Tanzania kufanya hivyo. Kupitia Bongo Fleva Music Facts nakuhakikishia utapata kujua mambo ya ndani zaidi kutoka kwenye muziki
Katikati ya mwaka 2017 nilipata nafasi ya kufanya kazi na tovuti ya Burudani inayosomwa zaidi nchini Tanzania, Bongo5.com ambapo nilijijengea uwezo mkubwa kwa upande wa Uandishi wa Habari za Burudani.
Baada ya uchunguzi uliodumu kwa kipindi cha mwaka mmoja, nimeweza kuja na Bongo Fleva Music Facts na kuwa Mwandishi wa kwanza Tanzania kufanya hivyo.
Kupitia Bongo Fleva Music Facts nakuhakikishia utapata kujua mambo ya ndani zaidi kutoka kwenye muziki huo. Mambo ambayo hata pengine wasanii wenyewe hawayafahamu kutokana yanaonekana kuwa ya kawaida ila yana uzito wake.
Shipping Notes
- Free Standard Shipping on $100+ Orders to the USA.
- Except Preorder products are shipped in 48 hours.
- Delivery to the USA:
- Standard Shipping : 3-10 business days
- If time is of the essence, please consider selecting expedited delivery for faster service.
Exchange/Return Notes
- We offer a 30-day return/exchange service after receiving.
- Final sale items are not eligible for returns or exchanges.
- To process your return/exchange, please contact us at [email protected]
- Please click here for more details>>> Return & Exchange Policy